ngoma mpya ya suma lee atokee njee

mtu mzima kutoka kulekule mapenzi yalipo zaliwa jiji lenye kibao cha karibu lakini hamna cha kwa heri si pengine lovidav city tanga hapa namzungumzia suma lee baada ya kusumbua na ngoma yake ya hakunaga sasa ameachia dude jipya alilolipa jina la atokee nje mhh jamaa nouma ku download ngoma press hapa

Comments