lulu aamua kupumzika uhuni kwa muda


msanii machachari wa bongo muviee elizabeth michael a.k.a lulu ambaye anatamba kwenye tamthilia na muvee mbalimbali zinazofanya vizuri katika tasnia ya filamu nchini tanzania amesema kwa sasa atapumzika kwenda club na kutoshiriki mambo mengine ya ajabu mpaka kwaresma iishe lulu aliyasema hayo alipokuwa akipiga stori na mwanahabari wetu mtiti na kuongezea kwamba mwaka huu amejipanga vizuri kuendeleza vyema sanaa yakee na kuhakikisha anafanya vizuri na anafika mbali
msanii huyyo ambayee anaongoza kwa skendo kwenye magazet mbali mbali ameamua kupumua na kujiweka mbali na vyombo vya habari

Comments