diamond platnum amuanika mpenzi wake

Hichi ndiocho alichokiandika DIAMOND kwenye BlackBerry Messenger ambapo kwa idhini yake mwenyewe nilimwambia nitaitumia.... Kulikua na stori kibao mtaani kwamba DIAMOND PLATNUMS yuko kwenye uhusiano wa kimapenzi na mrembo JOKATE lakini bado ilikua haijathibitika, sasa hivi ndio kaamua kuweka wazi.Hii ilipatikana kwenye account zao za facebook siku kadhaa zilizopita na ilikua ni moja kati ya dalili kwamba wako pamoja.

Comments