cyrill amchana dimpoz

baada ya mkali wa nai nai Ommy Dimpoz kuongea katika radio mbali mbali na kumuua kwa maneneo Cyrill, kwa kusema "cyrill ni msanii ambae hafanyi show kabisa" Cyrill saa hii kafunguka kupitia XXL ya CloudsFm na kusema kuwa "Ana tabia za kike kwa kukimbilia katika media na kuzungumza tu, siku nyingine ajipange kabla ya kufanya interview, anajionyesha ni jinsi gani amechezea madarasa machache sana tena kwa muda mrefu, tena kuna siku nilimtizama nikamuona ana shape ya kike........

yote haya yametokana na kuzuiliwa kwa Cyrill kufanya show na BASATA siku ya jumapili iliyopita (ambapo alifanikiwa kuifanya) kwa kudaiwa ni mkenya, wakati huo huo Ommy Dimpoz akiwa na show yake siku hiyohiyo, ndipo Ommy Dimpoz alipofunguka kwenye media na kusema kuwa Cyrill anatangaza kuwa yeye ndio kamfanyia fitna ili asifanye show. Ommy alikua akipiga show ndani ya Billcanas wakati Cyrill akifanya show yake Club Maisha
kwahabari zaidi sikiliza xxl kesho ambapo Ommy Dimpoz nae atasema ya kwake

Comments