gari mpya ya diamond platnum ni noumer





diamond alipiga stori na drop na ku holla kwamba amenunua gari aina ya land cruiser prado yenye samani ya shilling millioni sittini za kitanzania
diamond inonyesha ni jinsi gani kijana amevuka boda na mziki umemkubali kiasi gani kwa mafanikio aliyo nayo

Comments

  1. Inasemekana Diamond ni mfuasi wa ILLUMINATI

    ReplyDelete

Post a Comment