Mr Blue APATA MTOTO WA KIUME.

Mr. Blue amechonga na sisi kupitia ramadhan junior na kuniambia kuwa yule mpenzi wake ambaye alikuwa na mimba anakwenda kwa jina la Wahida majira ya jana usiku kuamkia leo alijifungua mtoto wa kiume. Blue amesema mtoto huyo ameamua kumpatia jina la SAMEER

Comments