EXCLUSIVE SHETA APATA MTOTO WA KIKE

Msanii anaye hits na  kibao cha nidanganye  danganye yeye na  mkewe Leila  wamefanikiwa kupata mtoto wa kike jana katika hospital ya St. monicakatika nyakati za jioni.tulimuliza Je shetta mtoto wako ungependa  kumpa jina gani shetta alifunguka kama ifuatavyo kusema kweli nitampa jina la kylakwasababu toka mke wangu anajauzito wangu nilimwambia kama tukifanikiwa kupata mtoto wa kike basi tutampa jina la Kyla.Na ndiyo maana nimempa jina ilo pia napenda kutoa shukrani kwa mwenyezi mungu kunipatia mtoto na ndio wasaa wangu wa kuitwa Baba wa familia. source by sheta

Comments