maisha plus ya rudi tena kivingine watch vidio masoud kipanya akielezea

ile reality show iliyowahi kufanya vizuri nchini tanzania na iliyokuwa ikiruka hewani kupitia tbc1
imerudi tena na hivi karibuni itaanza kuruka hewani katika televishen ya tbc 1
lakini maisha plus ya safari hii ni tofauti na zilizopita kwasababu maisha plus imeshirikiana na oxfarm
na kuleta maisha plus mama shujaa wa chakula
kwahiyo ni muunganiko wa project mbili kwa pamojaaa

Comments