samahani



drop entertainment inawatangazia kwamba haitapost kitu chochote kipya hadi tarehe 20 mwezi wakumi kwa sababu zilizo njee ya uwezo wetu tunaomba samahani kwa ususmbufu wowote utakaojitokeza

shukrani kwa wadau wote wa drop entertainment n soon kuna mzigo mpya unakuja official web site ya drop soon itakua hewani

Comments