BREAKING NEWS CHOMBO CHENGINE CHA ZAMA NUNGWI HII LEO

 kama ingekuwa nchi kavu tungesema eneo la nungwi ni sawa na eneo hatari kama vile mlima kitonga au sekenke, kwani mchana wa leo limetokea lingine la kutokea h ukohuko nungwi…

jahazi la Sunrise (zanzibartz blog) limezama maeneo hayo, na jahazi la clouds fm likafanya juhudi za kumtafuta kamanda wa  polisi wa mkoa wa kaskazini unguja.. ACP ahmad khamis abdallah amezungumza jinsi ajali hiyo ilivyotokea
"ajali imetokea baina ya Nungwi  na Tanga, na tayari tmeshapokea badhi ya watu, tumepokea 21 ambao ni wazima, hakuna maiti iliyopatiokana mpaka sasa, na waliokuwemo kwenye c hombo walikua jumla ya watu 32, khiyo ni kusema watu 11 mpaka sasa hawajapatikana." amesema Ahmad Khamis

Comments