BREAKING NEWS: lulu apata dhamana leo

Breaking News   : Msanii Maarufu  Lulu Michael aanay ekabiliwa na tuhuma za mauaji ya Msanii mwenzake Steven Kanumba amepata dhamana leo.
Baadhi ya masharti aliyopewa Lulu ni pamoja kuacha hati yake ya kusafiria mahakamani,kuripoti mahakamani na wafadhili… na million 20

Comments