lulu apata matumaini ya kurudi tena uraiani

Msanii wa Filamu za \\kibongo (Elizabeth Michael alias) maarufu kama Lulu baada ya kipindi cha nyuma kurudishwa rumande kwa kesi yake inayomkabili kwa kutuhumiwa kumuua msanii mwenzake,The Late  Steven Kanumba,sasa taarifa ambayo tumeipata ni kwamba wanasheria wake ambao ni Peter kibatala na Kennedy Fungamtama na Fulgence Massawe wametuma maombi ya dhamana ya kesi ya Lulu ili isomwe haraka kwasababu muombaji amekaa muda mrefu mahabusu.
Wanasheria hao baada ya kuwasilisha maombi hayo katika mahakama Kuu wanatarajia kesi hiyo kusikilzwa tena siku ya tarehe 25 mwazi huu mbele ya Jaji Zainabu Mruke.

Comments