wema sepetu anunua gari la samani kumpiku diamond platnum

Picha za Gari mpya ya Wema Seeepetu aina ya Audi Q7 yenye rangi nyeusi zimeonekana kwenye akaunti ya Wema ya Instagram alipoku wa beach hivi karibuni na kuiandikia caption, ‘my baby at da beach.’Kwenye akaunti ya meneja wake Martin Kadinda pia kuna picha nyingine ya gari hiyo aliyoiandikia maneno, ‘#maisha sio manhattan…..You can creat your own Manhattan in Tz… Hata kama ni Ya muda mfupi… #Kiphating.
Gharama ya gari hiyo inaweza kuanzia shilingi milioni 70 na kuendelea.

Comments

Post a Comment