DIAMOND AMUANIKA MPENZI WAKE MPYA KWENYE INSTAGRAM bonyeza link kuona picha

penny na mama diamond

diamond penny  na washkaji
Siku za hivi karibuni baada ya mitandao mbalimbali kufunguka na kusema kwamba msanii wa kizazi kipya 'Diamond Platinum' anamahusiano na mtangazaji wa Dtv VJ "Penny"
Sasa jana kupitia inst agram ya Diamond ilithibitisha kwamba ni wapenzi baada ya ku post picha na kuandika ujumbe huu  #De 'MumOfMyBlood#Mama YourDiamond#YounPlatinum#YoungPrezident...........

Comments