new trvidio BROKEN HEART DANCE SOLO THANG ft NIAMH CHAMBERS

mzazi solothang anaendelea kufunika katika anga za kimataifa na kuipeperusha vema bendera ya tanzania na kuuweka mziki wa bongo fleva pazuri katika ramani ya muziki duniani.
mzazi ameachia dude lake jipya linalokwenda kwa jina la broken heart dance aliyofanya na mwana dada niamah chambers kutoka kule kule mamtonii hehehehe.

Comments