|
brnaba na wife |
Kumekuwa na gumzo leo kutokana na Facebook post yenye hiyo picha ya
mtoto katika ukurasa wa mtu mzima Barnaba, watu wakijiuliza kama mpenzi
wake amejifungua…well tukaona bora kupata uhakika kutoka kwa wenyewe
ambao wamethibitisha kuwa siyo mtoto wake but ni mtoto wa dada yake
Barnaba.
Comments
Post a Comment