mr bluu kuitwa baba
Ni Baada ya zile story zilizovuma na hatimae Byser mwenyewe kukubali kua
 anategemea kupata mtoto na mpenzi wake wa zamani sanaaa ambae 
anajulikana kama Wahda Mohamed....Sasa Nyota njema imeshaanza kuonekana 
ambapo mwanadada huyo tayari ameshaanza kuvaa nguo kubwaaaaaa kama 
unavyoona katika picha...Inavyosemekana muda si mrefu Blu a.k.a Byser 
ataanza kuitwa baba


Comments
Post a Comment