watch diamond akikataa kupokea hela ya wema katika showw ya diamond r forever jana mlimani citty

Mwanadada Wema Sepetu ambaye alikuwa mchumba wa Diamond katika show hii ya DIAMONDS ARE FOREVER alijikuta akipata aibu pale alipotoka kwenye kiti chake na kwenda kumtunda Diamond akiwa anaimba kwa steji na hela yake kutopokelewa na mtu mzima kuipotezea hela ile daaaaah

Comments