wema sepetu ashikishwa adabu na mke wa pedeshee

Muigizaji maarufu nchini Wema Sepetu avamiwa na anaesemekeana kuwa ni mke wa pedeshee anaetembea nae jana jioni maeneo ya kinondoni. Mwana mama huyo alifika katika baa yake na kumkuta wema na wasanii wenzake wa movie wakijaribu kuondoka, ndipo akaanzisha sakata na kuanza kuligonga gari la
 wema kwa maksudi kwa kutumia gari lake la kifahari aina ya range mara tatu mfululizo na kuliacha gari la wema linalosemekana ni la mwana mama huyo ambalo wema alihongwa na pedeshee huyo..
kesi iko oysterbay polisi kwa habari zaidi......stick na blog yako ya kijanja ya drop entt..

Comments