barnaba apata mtoto wa kiume


Wakati watanzania wakiwa kwenye majonzi makubwa kwa kuondokewa na kipenzi cha Steven Kanumba. Mchana leo majira ya saa 6 msanii kutoka THT Barnabas amepata mtoto wa kiume na ili kumuenzi Kanumba ameamua kumpa mtoto wake jina la STEVEN BARNABAS

Comments