diamond platnum amuanika mpenzi wake
 Hichi  ndiocho alichokiandika DIAMOND kwenye BlackBerry Messenger ambapo
 kwa  idhini yake mwenyewe nilimwambia nitaitumia....  Kulikua na stori 
kibao  mtaani kwamba DIAMOND PLATNUMS yuko kwenye uhusiano wa kimapenzi 
na  mrembo JOKATE lakini bado ilikua haijathibitika, sasa hivi ndio 
kaamua  kuweka wazi.Hii ilipatikana kwenye account zao za facebook siku kadhaa zilizopita na ilikua ni moja kati ya dalili kwamba wako pamoja.

Comments
Post a Comment