wimbo wa kanumba nitainua macho yangu
Kwa
 mujibu wa Kamanda wa Polisi mkoa wa Kinondoni hakuna mwandishi yeyoye 
aliyeongea na Lulu kuhusu ushahidi aliotoa kuhusu kifo cha Kanumba, na 
kuhusu alichohojiwa na polisi hakiruhusiwi kusemwa hadi pale uchunguzi 
utakapokamilika, NA PIA Uchunguzi wa kilichosababisha kifo cha Steven 
Kanumba bado unaendelea, na leo ndo mwili wake ulikuwa unafanyiwa 
uchunguzi hospitali hivyo basi TAARIFA zote zilizosambazwa na watu sio 
rasmi, uchunguzi 


Comments
Post a Comment