Skip to main content
Mr Blue APATA MTOTO WA KIUME.
Mr. Blue amechonga na sisi kupitia ramadhan junior na kuniambia kuwa yule mpenzi
wake ambaye alikuwa na mimba anakwenda kwa jina la Wahida majira ya jana
usiku kuamkia leo alijifungua mtoto wa kiume. Blue amesema mtoto huyo
ameamua kumpatia jina la SAMEER
Comments
Post a Comment