Skip to main content
BREAKING NEWS: lulu apata dhamana leo
Breaking News : Msanii Maarufu Lulu Michael
aanay ekabiliwa na tuhuma za mauaji ya Msanii mwenzake Steven Kanumba
amepata dhamana leo.
Baadhi ya masharti aliyopewa Lulu ni pamoja kuacha hati yake ya kusafiria mahakamani,kuripoti mahakamani na wafadhili… na million 20
Comments
Post a Comment