lulu apata matumaini ya kurudi tena uraiani
Msanii wa Filamu za \\kibongo (Elizabeth Michael alias) maarufu kama Lulu baada ya
 kipindi cha nyuma kurudishwa rumande kwa kesi yake inayomkabili kwa 
kutuhumiwa kumuua msanii mwenzake,The Late  Steven Kanumba,sasa taarifa 
ambayo tumeipata ni kwamba wanasheria wake ambao ni Peter kibatala na 
Kennedy Fungamtama na Fulgence Massawe wametuma maombi ya dhamana ya 
kesi ya Lulu ili isomwe haraka kwasababu muombaji amekaa muda mrefu 
mahabusu.
Wanasheria hao baada ya kuwasilisha maombi hayo katika mahakama Kuu wanatarajia kesi hiyo kusikilzwa tena siku ya tarehe 25 mwazi huu mbele ya Jaji Zainabu Mruke.
Wanasheria hao baada ya kuwasilisha maombi hayo katika mahakama Kuu wanatarajia kesi hiyo kusikilzwa tena siku ya tarehe 25 mwazi huu mbele ya Jaji Zainabu Mruke.

Comments
Post a Comment