MAMBO 10 USIYOYAJUA KUHUSU DIAMOND PLATNUMZ
mahojiano ya lifanywa na drop
2.Ana simu nne na moja ina line mbili, hivyo ana line tano.Simu
yake huiweka silent muda wote kwakuwa zinapigwa muda mwingi. Anayo moja maalum
ambayo watu wengi hawaijui.
3. Ana nyimbo 133 ambazo ameshazirekodi tayari.
4.Mama yake alikuwa anampeleka kwenye talent show na
kumsubiria hadi usiku mpaka aperform ndo wanarudi wote. Ndugu zake wengine
waliona anamdekeza mwanae.
5.Zamani alikuwa anapenda kurap lakini aliona ukirap
huwezi kupata mademu. Alipokuwa akiimba watu wengi walikuwa wanamkataza kwakuwa
waliona hawezi.
6. Q Chilla ndiye msanii anayempenda zaidi na muda
mwingi husikiliza nyimbo zake.
7. Anamaliza mjengo wake uliopo Tegeta Dar es Salaam.
8.Anapenda kuja kuwa kama Usher Raymond.
9.Anapenda jinsi Dully anawasupport wasanii wachanga kwa
kuwashauri na kuwapa moyo kuliko wasanii wengine wakongwe ndo maana anasema
huwa hachuji.
Comments
Post a Comment