top 5 YA LISTI YA WASANII WA BONGO FLEVA WENYE MKWANJA MREFU KULIKO WOTE by daily nation
1:DIAMOND PLATNUM ni msanii namba moja alie tajwa kwenye listi hii ambaye ndiye anaeoongoza kwa kulipwa pesa nyingi zaidi kwenye show zake ambapo analipwa hadi dola $4000 kwa show sawa na shilingi 350,000.... pia diamond anamiliki magari ya samani maduka nyumba na mashamba hapa tanzania
2:PROFESOUR JAY ni msani namba mbili katika listi hii ambae ameanza mziki miaka ya tisini nana hadi sasa ameweza ku meintane na kuedelea kubaki kwenye game anamiliki nyumba ya kifahari yenye studio ndani pia ana miliki mashamba na amewekeza kwenye sekta mbli mbali
3:LADY JAY DEE anashika anashika namba tatu kwenye list hii ni msanni wa kike anaye heshimika zaidi tanzania na ameanza mziki mwishoni mwa miaka ya tisini na amejipatia mafanikio makubwa kutokana na bidii yake kwenye kazi ana miliki magari kibao yakiwemo toyota murano,toyota costa minbus,toyota prado nk..ana ishi kwenye nyumba yake ya kifahari na pia anamiliki bend yake mwenyewe machozi band
4;AMBWENE YESAYA (AY) japo kua ni mtu wakutopenda kujionesha sana lakini ni msanii mwenye mafanikio makubwa sana Tanzania alianza mziki mwaka 2000 akiwa na kundi la eastcoast kabla ya kujitoa na kuanza kufanya kazi zake binafsi kama solo artist anamiliki maduka kazaa ya nguo yenye brand yake pamoja na magari yakutosha na anapiga show nyingi za nje ya nchi ambazo zinamuingizia kipato kikubwa pia ay anamiliki kampuni ya Unity Entertainment ambayo ina manage wasanii kama ommy dimpozi,vannesa mdee,feza kessy na wengineo pia kampuni yake ndio inyotengeneza kipindi cha mkasi kinachorushwa na channel 5 (east africa television)
5:JUMA NATURE (KIROBOTO) ni msanii mkongwe katika game ya bongo flaver ambae amepata mafanikio makubwa kwenye game hii ambapo anamiliki tax nyingi hapa daresalam pia anamiliki nyumba pamoja na mashamba
2:PROFESOUR JAY ni msani namba mbili katika listi hii ambae ameanza mziki miaka ya tisini nana hadi sasa ameweza ku meintane na kuedelea kubaki kwenye game anamiliki nyumba ya kifahari yenye studio ndani pia ana miliki mashamba na amewekeza kwenye sekta mbli mbali
3:LADY JAY DEE anashika anashika namba tatu kwenye list hii ni msanni wa kike anaye heshimika zaidi tanzania na ameanza mziki mwishoni mwa miaka ya tisini na amejipatia mafanikio makubwa kutokana na bidii yake kwenye kazi ana miliki magari kibao yakiwemo toyota murano,toyota costa minbus,toyota prado nk..ana ishi kwenye nyumba yake ya kifahari na pia anamiliki bend yake mwenyewe machozi band
5:JUMA NATURE (KIROBOTO) ni msanii mkongwe katika game ya bongo flaver ambae amepata mafanikio makubwa kwenye game hii ambapo anamiliki tax nyingi hapa daresalam pia anamiliki nyumba pamoja na mashamba
nyyyyc
ReplyDeleteGod bless all
ReplyDeletekipindi cha mkasi kinanizuga hasa yule mwanake hata kuzungumza hajui
ReplyDeletetunafurahi mnapokuwa mnatupa taarifa muhimu za burudani kama hizi,maoni yangu ni kwamba mjitahidi kuweka umakini wakati mnaandika kwa sababu kuna makosa mengi sana ya kiuandishi kitu ambacho kitafanya hii site ionekane haiko sirious,msiweke caption kihuni coz kuna watu kadhaa hapa wamehisi tu ni uongo sababu ya jinsi ya uandishi wenu usio haririwa
ReplyDelete